Sasa ni jukumu la serikali kuwapa wasichana wote shuleni visodo

Rais Uhuru Kenyatta amepitisha mswada utakaowezesha wasichana walioko katika shule za umma kupewa taulo za visodo (pads) bure bilashi hatua hii inajiri baada ya runinga ya Citizen kuangazia masaibu waliyokuwa wakiyapitia wasichana wa shule wanapokuwa katika siku zao za mwezi haswa eneo la Baringo na maeneo ya pwani ,wengi wakitamaushwa na taarifa hii huku baadhi ya viongozi wakidai kwamba ni taarifa ambayo haikuwa na ukweli wowote.

Tags:

Sanitary towels serikali visodo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories