Sehemu kadhaa kukosa maji jijini

Wenyeji wa Nairobi watalazimika kuuanza mwaka huu kwa ukosefu wa maji kwani maji hapa jijini yameanza kutolewa kwa mgao kuanzia hii leo.
Ukosefu wa mvua ya kutosha umepelekea kampuni ya maji ya nairobi kuchukua hatua hii ili kudhibiti usambazaji wa maji hapa jijini na viungani mwake

Patrick igunza ana uketo wa taarifa hiyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories