Sehemu ya reli ya SGR yavunjwa

Polisi wanachunguza kisa cha uharibifu wa sehemu ya reli ya kisasa SGR katika eneo la Kibanda Hasara huko Mariakani kaunti ya Kilifi. Kwa mujibu wa meneja mkurugenzi wa shirika la reli nchini Atanas Maina sehemu iliyoharibiwa ni dogo mno.
Kisa hiki kinajiri siku mbili tu kabla ya Rais Uhuru Kenyuatta kuzindua safari za magarimoshi ya reli hiyo. Uzinduzi huo umepangiwa kufanyika siku ya Jumanne ambapo rais anatarajiwa kusafiri kutoka Mombasa hadi Nairobi kwa treni.

Tags:

Atanas Maina SGR

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories