Sekta ya afya ya umma yazidi kuyumba

Mgomo wa maafisa wa kliniki, uliong’oa nanga ijumaa, unatarajiwa kuendelea iwapo bodi ya uratibu wa mishahara haitoainisha viwango vyao vya kazi sambamba na maafisa wenza wa umma. Hii ina maana kuwa wakenya wanaotegemea pakubwa sekta ya afya ya umma watazidi kuumia, kwani kazi ya madaktari itazidi kuwa ngumu kutokana na kutokuwepo maafisa hao pamoja na wauguzi kazini

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories