Sekta ya bodaboda huchangia shilingi 400M kwa siku

Yamkini sekta ya boda boda huchangia zaidi ya Shilingi million 400 kila siku kwa uchumi nchini. Na hii kuwa njia moja ya wakenya hasa wale ambao hawajafanikiwa kuajiriwa kujiingisha kwenye biashara hii. Taarifa ifuatayo inaarifu namna wafanyabiashara kadhaa wa boda boda wameweza kupata mapato makubwa.

Tags:

bodaboda

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories