Sekta ya elimu yazongwa na wingi wa vitabu bandia


Serikali ya Kenya imekuwa ikipoteza ushuru wa takrbani shilingi bilioni 4 kila mwaka kupitia uhalifu wa kuchapisha vitabu ghushi vya kiada. Mkurungenzi mkuu katika shirika la uchapshaji vitabu nchini, KLB, Victor Lomaria ametaja uhali huo kuwa dosari kubwa katika uchumi wa taifa hili.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Kadzo Gunga
More by this author