Seneta Lenny Kivuti na mbunge, Cicily Mbarire wagombania Embu

Kizaazaa kilizuka mjini embu, huku nusra seneta lenny kivuti na mbunge wa runyenjes cecily warushiane makonde, kutokana na mzozo wa ni nani kati yao atawania ugavana kwa tiketi ya chama cha Jubilee.
Huku wafuasi wao wakizomeana, kivuti na mbarire walitupiana cheche za maneno, huku mbunge huyo wa runyenjes akidai seneta amekiuka mkataba kati ya jamii za waembu na wambeere, kuhusu mfumo wa kugawana nyadhifa kuu za kisiasa. Francis Gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories