Seneta Musila akanusha kuunga mkono Jubilee

Chama cha wiper kimemtaka Mbunge wa Kitui Magharibi Francis Nyenze kutangaza wazi iwapo amekigura chama hicho baada ya kunukuliwa akimsifu rais uhuru Kenyatta na kuwataka wakazi wa eneo bunge lake kumuunga mkono. Haya yanajiri huku seneta wakitui david musila akikanusha kuwa kamwe alimuunga mkono Kenyatta akisemea tatizo lake ni kwamba muungano wa upinzani NASA unaonekana kuwabagua wagombeaji huru wa viti mbalimbali.

Sam Gituku na taarifa hiyo…

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories