Seneta, mwakilishi wa wanawake wa Taita Taveta wahamia Jubilee

Chama cha Jubilee kinazidi kuyavizia maeneo ya pwani, katika jitihada za Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kujizolea angalau kipande cha kura katika ngome ya upinzani. Kenyatta na Ruto wakipiga kambi katika kaunti ya Taita Taveta, na kumpokea Seneta Dan Mwazo aliyehiari kulitema chungwa, na kujiunga na Jubilee.

Tags:

JUBILEE odm coast TAITA TAVETA pwani Dan Mwazo Joyce Lay

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories