Seneta wa Kwale aliyefariki jana azikwa

Aliyekuwa senata wa kwale  boi juma boi amezikwa leo  vanga , lungalunga kaunti ya kwale.  Vinara wakuu wa NASA Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Moses Wentangula walikuwa miongoni mwa waombolezaji waliohudhuria mazishi hayo. Mbali na wasifu wake  siasa pia zilionekana kupewa kipaumbele.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories