Seneta wa Machakos amjia juu Kalonzo

Masaibu ya chama cha wiper katika eneo la ukambani yanaendelea kutokota huku seneta wa kaunti ya machakos johnstone muthama akiweka bayana tofauti kubwa kati yake na kinara wa chama hicho kalonzo musyoka. Muthama ambaye alionekana mwenye hasira alipotoa taarifa kwa wanahabari anasema Musyoka amekuwa akiongoza chama hicho kwa njia za kiimla na hata kuhujumu shughuli za uteuzi wa ugavana katika kaunti za machakos na Kitui.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories