Seneta wa Nairobi kuchunguzwa kuhusu matamshi yake

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko amemwagiza mkurugenzi mkuu wa upelelezi Ndegwa Muhoro kufanya uchunguzi dhidi ya seneta wa Nairobi Mike Sonko kutokana na fujo alizozua katika ibada ya mazishi ya mume wa mbunge wa zamani wa Kathiani Wavinya Ndeti. Sonko anatuhumiwa kukiuka sheria katika matamshi yake alipodai kuwa yeye ni kaimu rais pasipo na Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto. Sam gituku anaangazia matukio ya utovu wa nidhamu wa mike sonko kaitka safari yake ya uanasiasa.

Tags:

Mike Sonko Nairobi Wavinya Ndeti kathiani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories