Serem: Serekali za kaunti hazifuati kanuni
Published on: December 05, 2017 08:04 (EAT)
Tume ya mishahara nchini SRC imesema kuwa bado matumizi ya fedha serikalini haswa katika kulipa mishahara hayaambatani na jinsi tume hiyo ilikusudia. Mwenyekiti wa tume hiyo anayeondoka Sara Serem amezilaumu serikali za kaunti kwa kuwa kizingiti kikubwa huku naibu rais William Ruto akidokeza kuwa ipo haja ya kuwapunguza wafanyakazi katika wizara na idara mbalimbali hasa washauri.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment