Serikali kubuni kikosi maalumu kukabili ufisadi bandarini

Rais Uhuru Kenyatta amemtaka gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho kusita kutoa cheche ya maneno dhidi ya serikali ya kitaifa na badala yake kuwekeza katika kuhakikisha serikali zote mbili zinashirikiana katika maendeleo. Rais alizungumza katika uzinduzi wa bandari ya pili huko mombasa ambapo gavana joho alikuwa amemsuta kuwa serikali ya kitaifa imetelekeza ustawi wa mji wa mombasa wakijihusisha na bandari pekee.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories