Serikali kutumia shilingi Trilioni 2.6 kuendesha shughuli zake

Bajeti ya mwaka 2017/2018 imeonekana kusikiza kilio cha wananchi waliolalamikia kuongezeka kwa bei ya bidhaa muhimu na haswa unga wa ugali, mahindi, maziwa na unga wa ngano. Waziri wa hazina ya kitaifa Henry Rotich ameagiza kuondolewa kwa ushuru kwa mahindi na mkate na kadhalika kwa wanaoagiza mahindi kwa miezi minne ijayo. Hata hivyo wanaobugia vileo na wanaocheza patapotea watalipa ushuru wa juu. Tuangazie waliopata na waliopoteza kwenye bajeti hiyo ya Rotich.

Tags:

Henry Rotich Budget 2017/2018

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories