Serikali kuwafidia wafugaji ambao ng’ombe wao walinadiwa Tanzania

Serikali itawafidia wafugaji kutoka familia kumi kutoka kaunti ya Kajiado ambao mifugo wao walitwaliwa na kunadiwa na serikali ya Tanzania walipovuka mpaka kusaka lishe. Serikali ikitenga zaidi ya Ksh. 55 M kuwawezesha wafugaji hao kununua ng’ombe wengine, huku juhudi za kuutatua mgogoro wa kidiplomasia unaotokota kati ya Kenya na Tanzania zikishika kasi.

Tags:

kenya Tanzania Maasai diplomacy ngómbe

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories