Serikali na madaktari wakutana tena

Mazungumzo mapya ya kusaka mwafaka wa mgomo wa madaktari ulioingia siku yake ya 46 hii leo yaliendelea huku muungano wa kmpdu na waziri wa afya wakijadili kipengee cha tatu cha mkataba wa madaktari unaoangazia vyeo na uhamisho wa madaktari.

Mazungumzo hayo yalihitimika baada ya kuitwa ikuluni kwa waziri Cleopa Mailu kumtolea rais ripoti ya mazungumzo hayo.

Na kama anavyoarifu hassan mugambi, hatimaye serikali imeafiki kuwa mkataba huo ni halali… lakini je iko tayari kuutekeleza?

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories