Serikali ya kaunti ya Nairobi yakataa matatu ziingie katikati mwa jiji


Serikali ya kaunti ya Nairobi imetangaza mpango wa kuanza kuzuia matatu kuingia katikati mwa jiji kama njia mojawapo wa kukabiliana na msongamano wa magari. Kulingana na Gavana wa Nairobi Mike Sonko mpango huo unaonuiwa kuanza tarehe 20 mwezi huu utahakikisha kuwa kuna nidhamu katika barabara za katikati mwa jiji na kuongeza kuwa washikadau watahusishwa ilikuona hawajadhulumiwa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Gatete Njoroge
More by this author