Serikali yaondoa walinzi wa magavana Joho na Kingi

Mwendo wa saa saba usiku wa kuamkia leo ,walinda usalama wa gavana wa Mombasa Ali Hassan  Joho na mwenzake wa kilifi Amason Jeffa Kingi walilazimika kurudi kambini baada ya kudaiwa kupewa agizo hilo na wizara ya usalama, upande wa polisi unadai kwamba magavana hawa wamekuwa wakitumia magari na walinzi hao vibaya.

Tags:

Joseph Nkaissery Hassan Joho Ulinzi Kingi walinzi wizara ya ulinzi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories