Serikali yapiga marufuku maandamano ya NASA katikati mwa miji


Serikali imepiga marufuku ya mara moja maandamano ya aina yoyote ile katikakati mwa jiji la Nairobi, Mombasa na Kisumu. Kaimu waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang’i ametoa agizo hilo kwa msingi wa kuzuia visa vya wizi uharibifu na machafuko wakati wa maanadamo hususan ya hivi punde.
Haya yanajiri huku wafanyibiashara mbalimbali wakiendelea kukadiria hasara baada ya mali yao kuibwa na kuharibiwa siku ya jumatatno wwakati wa maandamanao ya muungano wa nasa katiki sehemu tofauti humu nchini.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Patrick Igunza
More by this author