Serikali yasema haiwezi kukubali matakwa yote ya madaktari

Madaktari wamezima matumaini ya wagonjwa kwa kukataa nyongeza ya mishahara na marupurupu yaliyopendekezwa na serikali. Katika kikao na waandishi wa habari, viongozi wa muungano wa madaktari walisema kuwa hawatasitisha mgomo hadi serikali itekeleze kwa ukamilifu mkataba wa makubaliano wa mwaka wa 2013.

Tags:

serikali mgomo wa madaktari madaktari wakataa kurudi kazini

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories