Serikali yashinikizwa kutafuta njia mbadala ya reli

Serikali inazidi kushinikizwa itatafute njia mbadala ya kujenga njia ya reli ya kisasa ambayo inapitia katikati ya mbuga ya wanyama pori ya Nairobi. Kwa mara ya tatu sasa waakazi wa maeneo yanayopakana na mbuga hiyo wamefanya maandamano ya amani kupinga ujenzi huo kwa misingi kwamba utasababisha uharibifu wa mazingira na kuhatarisha maisha yao pamoja na kuwatatiza wanyama.

Tags:

reli ya kisasa mbuga ya wanyama ya Nairobi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories