Serikali yatia saini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Thwake

Ni afueni kubwa kwa wakazi wa eneo la ukambani baada ya wizara ya maji kutia sahihi kandarasi ya shilingi bilioni 40, ya kuanzishwa upya ujenzi wa bwawa la maji la Thwake katika kaunti ya Kitui. Maji ya bwawa hilo yanatarajiwa kuimarisha kilimo katika eneo hilo.

Tags:

Eugene Wamalwa kitui CHARITY NGILU thwake

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories