Serikali yatoa tahadhari ya kupungua kwa sukari

Serikali imetoa tahadhari kuhusu uhaba wa sukari nchini. Hali hii imechangiwa na ukame chini ambao umeharibu mazao.
Wananchi wengi wamepatwa na mshangao baada ya kukosa sukari madukani, hali mbayo inakisiwa kuwa itaendelea hadi pale waagizaji wa bidhaa kutoka nje watakapoweza kuagiza sukari. Si Kenya pekee ambapo bidhaa hiyo imekuwa adimu. Waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi wanalazimika kuagiza sukari kutoka nchi ya Brazil baada ya bidhaa hiyo kukosekana katika mataifa ya Afrika mashariki na bara Afrika.

Tags:

Mumias Sukari

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories