Serikali yatoa tahadhari ya mchamko wa kipindupindu


Serikali imetoa tahadhari kufuatia mlipuko wa maradhi ya kipundupindu nchini.
Inahofiwa kuwa watu wanne wamepoteza maisha yao kufikia sasa kufuatia mchamko wa ugonjwa huo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Anne Mawathe
More by this author