Serikali Yaweka Mikakati Ya Kuimarisha Kampuni Ya Mumias

Serikali Yaweka Mikakati Ya Kuimarisha Kampuni Ya Mumias

Wafanyikazi mia tatu pamoja na takriban wakurugenzi sita wa sukari ya Mumias watafutwa kazi. Aidha, serikali imeahidi kutoa shilingi bilioni moja za kuistawisha kampuni hiyo. Hizi ni baadhi ya hatua ambazo serikali pamoja na wasimamizi wa kampuni ya Mumias wamechukua ili kuihuisha kampuni hiyo ambayo inazidi kudorora kifedha. Mwanahabari wetu Denis Otieno anatuarifu zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories