Serikali yazindua mpango wa vitambulisho kwa wamakonde

Serikali hii leo imezindua mpango wa kuwasajili na kuwapa vitambulisho watu wa jamii ya wamakonde baada ya uamuzi wa baraza la mawaziri kupitisha kutambuliwa kwao kama Wakenya. Zaidi ya Wamakonde 5,000 watanufaika na mradi huo wa serikali ambao umejiri zaidi ya miaka 60 tangu kuhamia Kenya.

Tags:

makonde wamakonde

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories