Serikali za kaunti zasisitiza madaktari warejee kazini

Inaonekana kana kwamba ni mahakama ya rufaa pekee itakayoweza kutatua mzozo kuhusiana na mgomo wa madaktari. Hii ikiarifiwa na serikali ya kitaifa na za kaunti kushikilia kuwa madaktari warejee kazini mara moja kabla ya mikataba yao kutiwa saini nao madaktari wakisisitiza kuwa kinyume.  Japo baadhi ya kaunti zinasema kuwa ziko tayari kufanya mazungumzo na madaktari wake kutafuta muafaka, kaunti zingine zinaendelea na mikakati ya kuwachukulia hatua za kinidhamu.

Tags:

mgomo wa madaktari serikali za kaunti

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories