Shabhal ataka walanguzi wanyongwe

Mgombea wa ugavawa katika kaunti ya Mombasa Suleiman Shahbaal amependekeza kuwa sheria za kukabiliana na walanguzi wa dawa za kulevya zibadilishwe ili wale watakaopatikana na hatia wanyongwe na mali yao yachukuliwe na serikali.Akizungumza kwenye mkutano na wanahabari mjini Mombasa, shahbal amependekeza kwamba sheria pia yafaa kubadilishwa ili mtu yoyote anayepatikana na kosa la mihadarati mali yake iweze kuchukuliwa na serikali.

Tags:

Mombasa Hassan Joho Suleiman Shabhal dawa za kulevya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories