SHABIKI SUGU: Roslyn Akinyi anajulikana kama “Mama Orange”


Unawafahamu zaidi kwa mbwembwe zao katika hafla za kisiasa. Wakinengua viuno kwa mdundo wa muziki na wengine hata kutoa machozi ili wagombea wao wa kisiasa wanaowathamini wasidhulumiwe. Na kama anavyoarifu mwanahabari Saida Swaleh, aliyepata fursa ya kukutana na wapenzi wa chama cha ODM na wa Jubilee, wanaifanya kazi ya kuwatumbuiza watu hao bila hata peni katika makala maalum ya Shabiki Sugu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Story By Saida Swaleh
More by this author