Shahidi Wa 26 Aendelea Kutoa Ushaidi ICC

Suala la shahidi wa 26 wa mashtaka katika kesi dhidi ya Naibu Rais William Ruto na Joshua Sang kushawishiwa kubadili taarifa aliyokuwa ametoa awali liliibuka huku shahidi huyo akikiri kukutana na waliokuwa wakifanya hivyo na kuandikisha taarifa tatu na mawakili kutaka kujiondoa kwenye orodha ya mashahidi. Hata hivyo shahidi huyo amesema kuwa hakushawishiwa na yeyote kutoa taarifa kwa wachunguzi wa ICC.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories