Shaka yazidi kuhusiana na Raila kushiriki uchaguzini

Kinara wa Nasa Raila Odinga amesema kuwa hatashurutishwa kushiriki katika marudio ya uchaguzi mwishoni mwa mwezi huu. Odinga na kinara mwenza Kalonzo Musyoka wamesema kuwa kufikia sasa IEBC haijatimiza matakwa yao na hivyo hakuna haja ya kushiriki katika uchaguzi usiokuwa wa huru na haki. Haya yanajiri huku Rais Kenyatta akidai kuwa NASA ina mipango ya kujiondoa katika kinyanganyiro hicho. Stephen Letoo na taarifa hiyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories