Shehena ya tani 30,000 za mahindi yawasili bandarini Mombasa

Kufikia Jumatano ijayo, Wakenya watajua bei ya unga itapungua kwa pesa ngapi. Waziri wa kilimo Willy Bett amesema kuwa shehena ya tani milioni thelathini iliyowasili katika bandari ya Mombasa itaanza kusambaziwa kampuni za kusaga unga wiki ijayo,mahindi zaidi kutoka Zambia na Ethiopia ikitarajiwa kuwasili nchini.

Tags:

UNGA Ugali mahindi bei ya unga

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories