Sherehe Za Inooro Jijini Nairobi

Mamia ya wasikilizaji wa  radio ya Inooro inayomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services walijumuika katika uwanja wa  kanisa la PCEA la St Andrew hapa jijini Nairobi katika sherehe za  ushindi  wa  mtangazaji Muturi Wamuiru kwa kushindwa taji la mtangazaji bora  kwa miaka miwili mtawalia. Muturi ametuzwa kwa kutia fora katika kipindi chake ambacho hupeperushwa kwa lugha ya Kikuyu kwa kujishindia umaarufu mkubwa kati ya wasikilizaji.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories