Sheria Tata

Wachimba migodi ishirini huko Mandera wamejipata matatani baada ya kukaidi amri ya kuondoka kutoka eneo hilo kwasababu za kiusalama. Wachimba migodi hao wamefikishwa mahakamani na wanakabiliwa na kifungo cha miezi mitano gerezani au faini ya shilingi elfu 60 kila mmoja. Matukio haya yanajiri wakati ambapo walimu wanaofanya kazi katika sehemu hiyo wakizidi kufanya maandaano kupinga tisho la tume ya kuwaajiri walimu kuwa warejee kazini la sivyo wafutwe kazi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories