Sheria za sigara

Kwa mara nyingine tena sheria ya kudhibiti uuzaji na matumizi ya sigara huenda ikakosa kutekelezwa  baada ya kampuni ya kutengeneza sigara ya  bat kuwasilisha kesi mahakamani kupinga sheria mpya ambayo inawalazimu wao kuuza  bidhaa hiyo chini ya masharti kadhaa  kwa manufaa ya afya ya wakenya.

Tags:

Sheria za sigara

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories