Shirika la IPOA kuchunguza vipigo Mumias

Halmashauri ya kutathmini utendakazi wa maafisa wa polisi ipoa, inaendeleza uchunguzi kubainisha kama kweli oparesheni ilioanzishwa kusaka bunduki zilizoibwa katika kituo cha polisi cha booker huko mumias ilikiuka haki za kibinaadam.

 

Haya hanajiri huku ripoti zikiashiria kuwa wakazi wanaowasilisha malalamishi yao kwa ipoa wanatishiwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa polisi.

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories