Shirika La KNCC Lataka Riba Zipunguzwe

Benki humu nchini zimetakiwa kupunguza riba zao kwenye mikopo. Shirika la Ustawi wa Biashara na Viwanda nchini linasema hatua hiyo ni muhimu kwa kuendeleza ukuaji wa uchumi na maendeleo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories