Shirika la kutunza misitu KFS lasafisha msitu wa Ngong’


Huku mjadala wa marufuku ya karatasi za plastiki ukiendelea, maafisa wa shirika la kutunza misiti nchini KFS walishirikiana na washikadau mbali mbali kuokota karatasi za plastiki zilizokuwa zimetapakaa katika msitu wa Ngong hapa jijini Nairobi kama kielelezo cha kusafisha mazingira.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Kadzo Gunga
More by this author