Shirika la NEMA lakutana na wenye viwanda


Shughuli ya kuzoa na kurejesha karatasi za plastiki inatarajiwa kuanza hapo kesho. Hapo jana maafisa kutoka shirika la kutunza mazingira nchini NEMA walitangaza maduka makuu ya Tuskys, Nakumatt na Uchumi kama sehemu za kupokea karatasi hizo kutoka kwa wakenya kote nchini.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author