Shisha yapigwa marufuku

Waraibu wa Shisha wamepata kipigo hii leo baada ya serikali kupiga marufuku bidhaa hiyo. Aidha waziri wa afya Cleopha Mailu ameharamisha uagizaji, utengenezaji, uuzaji, upigiaji debe na usambazaji wa aina hii ya tumbaku kwa sababu ina madhara mengi ya kiafya.

Tags:

shisha cleopa mailu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories