Shoka, gazeti marufuku

 

 

Serikali ya kaunti ya Nakuru imepiga marufuku matumizi ya magazeti katika kufungia nyama.  Kulingana na wasimamizi wa usafi wa umma uamuzi huu umefikiwa kutokana na kuwepo kwa kemikali zinazotumika katika uchapishaji wa magazeti zinazosemekana kuathiri hali ya afya endapo zitachanganyika na nyama.basi yoyote atakayepatikana akikuaka sheria hii faini au kifungo cha miezi gerezani kinamsubiri.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories