Shollei Ahojiwa Na Tume Ya EACC

Msaidizi wa naibu rais William Ruto, Marrianne Kitany pamoja na aliyekuwa msajili wa mahakama Gladys Boss Shollei walifika mbele a tume ya kupambana na ufisadi kuhojiwa kuhusu madai ya ufisadi dhidi yao. Shollei ambaye anakabiliwa na madai ya kukiuka sheria za ununuzi anadai kuwa madai hayo hayana msingi bali ni njama ambayo ilipangwa kumuangamiza kikazi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories