Shughuli za uokoaji kwenye jumba lililoporomoka Kisii zakamilika


Shughuli za uokoaji katika mkasa wa jumba lililoporomoka mjini Kisii hapo jana zimefikia mwisho huku watu saba wakipoteza maisha yao na mwanamke mmoja katika kaunti ya ametiwa mbaroni kwa kosa la kuwatelekeza wanawe wawili. Kwa taarifa hizi na nyingine kwa kina ni katika mseto wa kaunti.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Kadzo Gunga
More by this author