Shule Isiyo Na Wanafunzi Baringo

Uhaba wa walimu katika kaunti ya Baringo umewalazimisha baadhi ya wenyeji kugeuza majengo ya shule na kuyatumia kama soko. Aidha shule kumi na tatu zimefungwa katika eneo bunge la Tiaty kufuatia hali hii. Wenyeji sasa wanaomba serikali iingilie kati na kufufua sekta ya masomo katika eneo hilo. Denis Otieno ana maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories