Shule nyingi mashuhuri hazikufanya vyema mwaka huu

Na kufuatia matokeo hayo baadhi ya shule zilipata pongezi kutoka kwa waziri wa elimu Fred Matiangi, kwa kuandikisha matokeo bora kwa njia ya haki na kweli. Shule za wasichana za Alliance na Kenya High zikitajwa kama mfano mwema wa shule zenye uzoefu wa matokeo mema na ya halali. Patrick igunza anasimulia zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories