Shule ya walemavu ambao wanajibidiisha, Likoni

Kwa Kawaida Watu Wasiokuwa Na Uwezo Wa Kuona Na Walemavu Kwa Jumla Hutegemea Watu Katika Shughuli Zao Kila Siku Maishani Kama Vile Kutembea Na Hata Kwenda Msalani Ambao Huhitaji Watu Kuwaonyesha Wanakoenda Lakini Taswira Ni Tofauti Ambapo Kupitia Mafunzo Maalumu Wakiwa bado Watoto Wachanga Wanaweza Kujitegemea Wenyewe Bila Kutaka Msaada Kutoka Kwa Watu Wazima. Mwanahabari Wetu Nicky Gitonga Alizuru Shule Ya Msingi ya The Salvation Army School For The Blind Likoni.

Tags:

ulemavu The Salvation Army School For The Blind Likoni

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories