Shule za kibinafsi zinazobagua wanafunzi zamulikwa

Mtazamaji, wajua kuwa kuna baadhi ya shule za msingi za kibinafsi ambazo zinashamiri kutokanana na ubaguzi wa viwango wanafunzi? Basi wizara ya elimu imetoa orodha ya shule kumi ambazo zinakisiwa kusajilisha vituo mablimbali vya mitihani, lengo lao likiwa kuhakikisha wanafunzi wanaotoa matokeo bora zaidi wanaimarisha umaarufu  wake. Baadhi ya wamiliki wa shule hizo hata hivyo wamekanusha madai ya serikali, wengine wakisema wanafanya tu mapenzi ya wazazi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories