Shule zafunguliwa hapo kesho

Shule Kote Nchini Zinafunguliwa Hapo Kesho Kwa Muhula Wa Pili  Mwaka Huu. Wengi Wa Wazazi  Ambao Wamefika Madukani Wamelalamikia Hatua Ya Kupanda Kwa Bei Za Bidhaa Tofauti Huku Mahitaji Ya Wanafunzi Nayo Yakipanda. Tupate Taarifa Hiyo Kwa Kina kama anavyoripoti mwanahabari Makori Ongechi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories