Shule zafunguliwa kuanza muhula wa tatu


Huku masomo ya muhula wa tatu yaking’oa nanga wanafunzi wamejipata wakihangaika kwenye vituo vya kuabiri magari ya umma kutokana na uhaba wa magari hayo. Katika baadhi ya vituo hivyo nauli imeongezeka maradufu, jambo ambalo limewaduwaza wazazi na wanafunzi wengi wasijue la kufanya.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Citizen Team
More by this author